A.Y alisema "Toka nifanye ziara yangu ya mwisho miezi miwili iliyopita, katika tamasha lilojumuisha vyuo vikuu mbalimbali vya east na central Africa.Lililoandaliwa na kampuni ya simu Za mikononi Celtel,na lilojulikana kama Celtel Africa.Nawaambia sasa ni zamu ya watu wa Nairobi,Mombasa na Voi wakae tayari,kwani ujio wa mzee wa commercial ni mwingine,watarajie kupata burudani kali kutoka kwangu.
KENYA MPO TAYARIII.........


