Hapa ilikuwa mjengoni Clouds Fm wakati mwanamuziki mwenye asili ya Jamaica anayeishi Miami Sean Kingston akitangaza nia ya kufanya kazi na AY na kazi zake zingine zilizometa..
Whats New
Nje Ndani - Sean Kingston 2 Ay
Hapa ilikuwa mjengoni Clouds Fm wakati mwanamuziki mwenye asili ya Jamaica anayeishi Miami Sean Kingston akitangaza nia ya kufanya kazi na AY na kazi zake zingine zilizometa..
AY LIVE NDANI YA BILICANAS JUMAPILI HII
Mzee wa Commercial AY jumapili hii tarehe 10 anapiga show ya ukweli katika ukumbi wa Bilicanas.Report zinaeleza kuwa ameandaa show ya kijanja na yenye ubunifu mwingine tofauti.Anapenda kuwaalika washabiki wamiminike ili kukamua nao kwa pamoja..kwenye kazi hakuna mchezo so njooni kwa wingi muweze kucheza hits zake kuanzia Ni raha tu,yule,leo,kings and queens mpaka mapini mawili yanayosumbua anga kwa wakati huu Dakika moja aliyofanya na FA pamoja na Chap Chap alilokamua na mkali toka Uganda BEBE COOL a.k.a Big Size.Hii si ya kukosa 5000 tu mlangoni wazeiya kazi kwenu..
AY & MS TRINITY katika GOOD LOOK video shooting
Wiki iliyopita AY pamoja na msanii kutoka Trinidad and Tobago Ms Trinity waielekea nchini Uganda na kushoot video yao mpya.
Wimbo huo ulirekodiwa katika studio za B.Hits jijini Dar es Salaam na video kufanyiwa ndani ya jiji la Kampala chini ya director Donald kutoka Dedac Production.
AY alinukuliwa akisema "Video itakuwa tayari ndani ya wiki mbili na watu wangu kokote waliko duniani wategemee good music kutoka kwangu na Ms Trinity.
Pia nilitumiwa muda huo nikiwa Kampala kwa kurecord video nyingine pamoja na mkali kutoka Uganda ajulikanae kwa jina la Ragga Dee.Video hiyo imefanywa na kampuni iitwayo JahLive ya nchini humo"alimalizia.
Ay pia anatarajia kurecord nyimbo zingine na wasanii wakubwa kama Sean Kingston mjamaika aliweka makazi yake nchini Marekani pamoja JMartins wa Nigeria hivi karibuni.
AY AKIKAMUA KATIKA MISS TANZANIA 2010



Kwa ambao hawakuona makamuzi ya Miss Tanzania si vibaya ukiangalia hata kwa picha jinsi AY alivyokimbiza siku hiyo
AY KUKAMUA MISS TANZANIA LEO.

BAADA YA KUWARUSHA MTWARA JANA..AY YUKO READY KWA MAKAMUZI YA MISS TANZANIA LEO USIKU KWENYE UKUMBI WA MLIMANI CITY DAR ES SALAAAM.SHOW HIYO PIA ITARUSHWA LIVE NA STAR TV..
Photo Galleries
Ay Recent images, Hot! View the latest photos, Events Gallery
Upcoming Events
Information on Ay events, concerts, music, festivals...
Event Calendar
2.03.2011 » TOUR
20.08.2010 » AY LIVE IN NAIROBI
4.11.2007 » Usiku wa Undani Wangu
1.07.2007 » Kilimanjaro Tours - Moshi, Shinyanga, Mwanza
Video Clips


