Maudhurio makubwa ya watu katika matamasha yaliyofanyika weekend iliyopita nchini Kenya katika miji ya Voi,Mombasa na Nairobi yamedhihirisha wazi kuwa kazi za wasanii wawili A.Y na Matonya zinakubalika vilivyo katika ardhi ya Mzee KIBAKI.
» Ay » Highlights
Akon Ampa Shavu Ay
Doggy pamoja na Mama Africa.
Ay Apania Kuwarusha Vikali Dodoma, Mbeya na Moro
Msanii wa muziki wa bongo flava nchini ambaye kwa sasa yupo juu ile mbaya na single yake kali ya USIJARIBU A.Y,anatarajia kufanya maonyesho MANNE kabambe katika mikoa mitatu tofauti.Ambapo show ya kwanza itaanza mkoani Dodoma JUMAMOSI tarehe 14 April 2007 ndani ya NK DISCO halafu moto utaendelea kuwashwa kesho yake jumapili tarehe 15 April 2007 ndani ya ukumbi wa KILIMANI,ambayo itakuwa ni ya kutafuta vipaji vitakavyo shiriki katika TUZO ZA KILIMANJARO - 2007.AY an artist in the Hip hop business
Dubbed by his fans as "Mzee wa Commercial" meaning a successful artist in the hip hop business, this success has popularised him all over East Africa.Born in the southern town of Mtwara, He started to rap in the late 1990's with his friends, this made him to write his own lyrics and recorded a song titled "My Girlfriend" with the CBM crew.
All Africa Kora Music Awards
Four local singers have returned home after participarting in the 10th All Africa Kora Music Awards in Durban, South Africa on Sunday night. The local musicians who were nominated in various categories from Tanzania were; Jay Dee, AY, Wanne Star and Saida Kalori.Saida kalori lost to Koffi Olomide in the categories of the Best Artist of the Decade.
AY was beaten by Alain Aurian from Mauritius in the Best Male Artist Award from East Africa.
Kenyan Neema beat Jay Dee in the Best Female Artist from East Africa.
Movie 'Girlfriend' to have hip hop soundtrack
Miss Tanzania 2002/03, Angela Damas, features in a new film known as Girl Friend, whose production has just been completed. Angela, now taking sociology at the University of Dar es Salaam, is seen in the film handing over an award to the best r&b artist in the country, Mohamed Khalid, whose moniker is TID ('Top In Dar'). TID won the award after his song Zeze was voted the best by music enthusiasts through Ijumaa, a local Kiswahili tabloid.A.Y Anyakua Tuzo ya Kilimanjaro
Ilikuwa ndani ya DIAMOND JUBILEE V.I.P HALL ijumaa ya tarehe 25th ambapo KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2007 ilikuwa inawakabidhi tuzo zao wanamuziki waliofanya vizuri mwaka 2006 na 2007.Kinyanganyiro hicho kilichochukua takribani mwezi mmoja kuwapata washindi ambapo washabiki,wapenzi,wadau mbalimbali pamoja na majaji walishiriki bega kwa bega kulifanikisha hilo.



