Join   AY.CO.TZ   

»   Ay » Highlights » A.Y Ndani ya Kampala - Uganda 

A.Y Ndani ya Kampala - Uganda


Wiki hii siku ya ijumaa A.Y ataelekea jijini Kampala, Uganda kwa ajili ya uchukuaji picha za video mbili tofauti.Baada ya kushirikishwa na kina dada wawili matata kutoka Uganda BRENDA na HELLEN waliojiengua katika kundi la Obsession na kujiita HB TOXIC wanatarajia kuchukua picha za video hiyo mpya inayokwenda kwa jina la ALL I NEED.

Baada ya uchukuaji wa video hiyo pia utafanyika uchukuaji wa video nyingine ambayo AY amefanya na Chameleone mkali kutoka Uganda,jina la wimbo huo halitaweza kutoka kwa sasa ila ni kazi iliyosimama sana kutoka kwa wakali hao wa Afrika ya Mashariki waliorecord ndani ya studio ya prodyuza anayefunika Hermy B wa nchini Tanzania.

Uchukuaji wa video hizo utajumuisha maeneo tofauti tofauti ya jiji la Kampala na Entebbe.
  Discuss
Hello Guest. Please register or login to view hidden text..
Related News
  • AY & MS TRINITY katika GOOD LOOK video shooting
  • A.Y Na Mwana FA Kutoka Pamoja!!
  • A.Y Kufanya Kazi na P-Square
  • Video Mpya ya Mwana FA na A.Y Wiki Hii
  • BRAND NEW TRACK KUTOKA KWA "CMB PREZZO" FEAT: ULOPA- 4 SHO 4 SHIZZY
  • Share

    #2 Author: AlenkkaOpra 5 November 2011 19:34


    --
    --

    Привет !!! Одинокая девушка с сексуальной внешностью и пышной грудью ищет ласки, жду тебя: познакомиться с девушкой на улицегород знакомствкак правильно познакомиться с девушкой
    интим знакомства без отправки смсэлитные знакомства в москвезнакомства зональноедосуг петрозаводск интиминтим город исса

        

    #3 Author: Illessigh 6 November 2011 21:58


    Illessigh
    --

        

    #4 Author: OksanaSeksi 6 December 2011 18:33


    --
    --

    В это время очень много одиноких сердец по ту сторону экрана находятся в поиске знакомства с Вами. Вы в любой момент можете присоединиться к нашей веселой компании, и найти собеседника по душе, знакомго по интересам или же более близкого человека для личной встречи.сайт знакомств маилзнакомства без регистрациисайт знакомств датинг ру

        
    Members of Guest cannot leave comments.