Join   AY.CO.TZ   

»   Ay » Highlights » Sasa ni Coco Baech 

Sasa ni Coco Baech


Siku ya Jumapili tarehe 9 mwezi huu wa kumi na mbili pale COCO BEACH Mzee wa Commercial A.Y ataungana na wasanii wenzake wa Bongo Flava na kukamua sana katika tamasha la bure lililoandaliwa na kinywaji bora kinachopendwa sana na vijana kitambulikacho kwa jina la FANTA.

A.Y ambae wiki iliyopita aliweza kufanya vizuri sana katika matamasha tofauti yaliyofanyika Arusha na Mwanza ambapo kulijumuishwa na wasanii tofauti toka Afrika ya Mashariki;

Tulipata fursa ya kupata maelezo toka kwake jinsi mambo yalivyojiri huko alikotoka na amejiandaaje na matamasha ya siku zijazo….

“Arusha tulikuwa na show tarehe 30 Novemba ya East Africans Finest katika viwanja vya Tripple A ambapo niliweza kuwa jukwaa moja na Prof Jay,Redsan,Mwana Fa,Lady JD,Nako 2 Nako,Michael Ross,Nonini,Juacali na T.I.D.Nafurahi na kupata moyo sana kwa kuona jinsi kazi zetu zinavyokubalika.Pia nikaenda Mwanza Ccm Kirumba katika tamasha la Siku ya Ukimwi duniani.siku hii huwa inaadhimishwa kila mwaka tarehe 1 mwezi wa kumi na mbili.Imenipa moyo sana kwa vile vijana wengi sana wa Mwanza waliweza kujitokeza na kuitikia wito.Huko pia nilikuwa na Mwana Fa,Fid Q,H Baba,Flora Mbasha pamoja na Hard Mad”.

“Sasa ni Coco Beach tarehe 9 moto ule ule.Tujitokeze kwa wingi tufurahie kwa pamoja Habari ndio hiyo.Alimalizia kwa kusema hivyo…
  Discuss
Hello Guest. Please register or login to view hidden text..
Related News
  • Funga na Fungua Mwaka Ilivyofunika
  • Tour ya A.Y Kenya Yafunika
  • Tour Nyingine ya A.Y Inakaribia Kuanza
  • A.Y Ndani ya Dubai
  • "Usiku wa Undani Wangu" Wafunika
  • Share

    #1 Author: DeltMarat 4 November 2011 07:36

    #2 Author: zordenisk 10 November 2011 15:19


    Vladimir
    Moskva

        

    #3 Author: coollerok5713 14 May 2012 12:34


    --
    --

    Всем привет! Нашел рабочий сервис просмотра гостей Вконтакте. Пользуйтесь, пока не прикрыли - http://vk-secrets.com

        
    Members of Guest cannot leave comments.