A.Y ambae alikuwa katika kundi la WIMBO BORA WA MWAKA WA HIP HOP kupitia wimbo wake wa USIJARIBU aliweza kunyakua TUZO hiyo na kuwashinda wasanii wenzake ambao walikuwa katika kundi hilo.
Akiongea na waandishi wa habari A.Y aliweza kupata fursa ya kuwashukuru waandaaji wa KILIMANJARO MUSIC AWARDS kupitia kinywaji chake cha KILIMANJARO kwa kufanikisha zoezi hilo kubwa na gumu,pia aliwashukuru washabiki,wapenzi,wadau mbalimbali pamoja na majaji kwa kuweza kuona kutambua na kuchagua kilicho bora na kumfanya yeye kuibuka mshindi katika kundi hilo.
"USHINDI NILIOUPATA NI CHANGAMOTO KWANGU,HAITANIFANYA NIJIONE KAMA NIMEFIKA,KAZI NDIO IMEANZA TEGEMEENI MAMBO MAKUBWA NA MAZURI TOKA KWANGU,NAWASHUKURU NA KUWAHESHIMU SANA" alisema A.Y
HONGERA MZEE WA COMMERCIAL FANYA KWELI!!
-----------------------------------------------------
Kilimanjaro Music Awards in Tanzania
kilimanjaro.jpgNamed after the highest mountain in Africa and one of the the many tourist attractions in Tanzania, the Kilimanjaro music awards organizers put up a list of all the artists nominated for this year's event.There are twenty one categories including best reggae/ragga artist which features local reggae big names like innocent nganyagwa last year's winer and Hard Mad who have tried to keep up the music's true roots.Innocent Nganyagwa plays Tanzanian reggae blending some Tanzanian rhythms into normal known reggae beats whel as Hard Mad does real dancehall music flavoured with roots reggae and some african tunes.I n another category tittled East African musician of the year, two Ugandan dancehall artists who havve been on a tour to UK have been mantioned that is Bobby wine of Kagoma/Taata wa bana fame and MeggaDee of Nze ndeka/In heven no beer fame.


