Anashindania wimbo bora wa Hip Hop wa mwaka 2007 na mwimbo wake uliochaguliwa ni "USIJARIBU".Ewe mtanzania au raia mwingine yoyote unaombwa kumpigia kura A.Y ili apate kushinda nafasi hiyo.Jinsi ya kumpigia kura ni kama ifwatavyo: KWA WENYE SIMU ZA MIKONONI (SMS): -Andika neno kili na ACHA NAFASI na andika nambari 114 -Kisha tuma sms kupitia namba 15522
BARUA PEPE / E-MAIL -Andika jina lake "A.Y" kisha tuma katika vote@ kilitimez.com
KAZI ALIOIFANYA NI NZURI MUWEZESHE ASHINDE...TUPO PAMOJA
KAZI ALIYOIFANYA NI MZURI


