Baada ya kupiga ziara ndefu katika mikoa tofauti nyumbani Tanzania.A.Y amepata mualiko kupitia kampuni ya CRASHKELLY ENTERAINMENT INC. ya nchini Kenya.Na anatarajia kufanya matamasha katika miji matatu (3) tofauti nchini Kenya, show hizo zinatarajia kufanyika katika jiji la Nairobi, Mombasa na Voi.